Villa Park Leo Moto, Aston Villa Kusaka Ushindi Dhidi ya Lille
Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet kwenye simu yako ni rahisi sana kutengeneza pesa?. Mechi kibao zipo kuhakikisha huondoki patupu hapa suka jamvi lako sasa na uanze kubashiri hapa. Aston Villa watakuwa pale Villa Park kusaka nafasi ya kufuzu dhidi ya Lille kutoka kule Ufaransa. Vijana wa Unai wamekuwa na msimu bora sana kwenye michuano…