Kikosi cha Azam FC vs Mashujaa FC

Aishi Manula mlinda mlango wa Azam FC ameanza kikosi cha kwanza ambacho kitawakabili Mashujaa FC leo, Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.

Wachezaji wengine ni Himid Mao, Sadio Kanoute, Twalibu Nuru, Lusajo Mwaikenda, Pascal Msindo, Zidane Sereri, Feisal Salum, Ashrafu Kibeku, Lameck Lawi, Idd Nondo.

Wachezaji wa akiba ni Abah Abel, James Akaminko, Jean Ngita, Yeison Fuentes, Diakite, Landry Zouzou, Jeremiah Kitambala,Yoro Diaby na Alobogast Charles.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.