Kikosi cha Pamba Jiji FC kitakachoanza dhidi ya Simba SC Uwanja wa Kirumba kipo tayari ambapo mchezo unatarajiwa kuanza saa 10:00 jioni.
Langoni ni Yona Amosi.
Wachezaji wengine ni Abdulmajid Mangalo, Ibrahim Abrahim, Mathew Tegisi, Peter Lwasa, Keneth Kunambi, Sharpahn Sawa, Zabona Mayombya, James Mwashinga, Hussen Kibailo na Michael Samamba.
Wachezaji wa akiba ni Brian, Nahimana, Amosi Kadikilo, Abdoulaye Camara, Abdallah Khamis, Denis Richard, John Ben, Henry Msabila.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.