Yanga SC yarejea Dar baada ya kuwatuliza Mashujaa FC
MSAFARA wa kikosi cha Yanga SC umerejea salama Dar Juni 14, 2026 mara baada ya kumalizana na Mashujaa FC katika mchezo wa NBC Premier League uliochezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma. Katika mchezo huo Juni 13, 2026 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Mashujaa FC 0-2 Yanga SC, magoli yakifungwa na Mudathir…