Mwalimu wa Kiingereza wa Mastaa wa Bongo Fleva, Allen Ngonyani Afariki Dunia

Mwalimu aliyewasaidia mastaa wakubwa wa muziki wa Bongo Fleva, akiwemo Diamond Platnumz, Harmonize na Rayvanny, kuzungumza Kiingereza kwa ufasaha, Allen Ngonyani, amefariki dunia mapema asubuhi ya leo katika Hospitali ya Geza, Kigamboni, jijini Dar es Salaam, alikokuwa anapatiwa matibabu. Akizungumza na Global TV Online, mmoja kati ya ndugu wa karibu wa marehemu amesema kuwa Ngonyani…

Read More

Barcelona Inaweza Kuwa na Kipaumbele Kumchukua Erling Haaland

Victor Font, mgombea urais wa Barcelona, ameeleza kwamba Erling Haaland ndiye lengo lake kubwa, akionyesha kwamba klabu ya LaLiga inaweza kuwa na kipaumbele kumchukua mshambuliaji huyo ikiwa ataamua kuondoka Manchester City. Font alisema: “Haaland ni mmoja wa washambuliaji bora duniani. Tumejizatiti kuwa tutakuwa na kipaumbele kumchukua ikiwa atataka changamoto mpya.” Haaland, 25, alisaini mkataba wa…

Read More

Naga Games Inakuja Kukuhakikishia Ushindi Meridianbet

Meridianbet imefungua ukurasa mpya katika ulimwengu wa kasino mtandaoni kwa kumkaribisha rasmi Naga Games ndani ya jukwaa lake. Uzinduzi huu unaashiria hatua nyingine ya ubunifu inayolenga kuwapa wachezaji uzoefu wa kisasa zaidi, uliojengwa kwa teknolojia ya hali ya juu na michezo inayoweka msisimko kwenye kila mzunguko wa mchezo. Kupitia Naga Games, Meridianbet inaleta mfumo mpya…

Read More

Hiki hapa kikosi cha Yanga SC vs Tanzania Prisons

Tanzania Prisons vs Yanga SC ni leo Machi 12,2026 saa 2:00 usiku. Hiki hapa kikosi cha Yanga SC ambacho kinatarajiwa kuanza:- Langoni Djigui Diarra Mabeki: Israel Mwenda, Zimbwe Jr, Nondo, Bacca. Viungo ni Damaro, Abuya, Maxi, Mudathir na Okello. Mshambuliaji ni Prince Dube. Akiba: Masalanga, Abubakari, Assink, Andabwile, Yao, Abdulnasir, Shekhan, Edmund, Bupa, Depu. ***…

Read More