Mashujaa FC warejea kambini kwa mchezo ujao dhidi ya Yanga SC
MASHUJAA FC inayotumia Uwanja wa Lake Tanganyika kwa mechi za nyumbani wamerejea kambini kwa maandalizi ya mechi zijazo ndani ya ligi. Timu hiyo Mei 31 2026 rasmi ilirejea kambini na kuanza maandalizi kwa mchezo ujao unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika. Mashujaa FC vs Yanga SC ni mchezao ujao kwenye ratiba ambapo utakuwa ni mzunguko…