Ujumbe kwa Kamati ya Saa 72
Takribani nusu siku tokea Kamati ya Saa 72 itangaze adhabu kadhaa kwa wakosefu ambao hakika wanapaswa kujirekebisha. Lakini wazi kuonaonekana ndani yake kuna SIASA na haiwezi kuwa msaada kwa wachezaji wetu, klabu au mpira wa Tanzania. Adhabu ya Mwalimu wa Simba ni sahihi kabisa na anapaswa kujifunza kwa kuwa alifanya shambulizi hata kama aliyeshambuliwa alianza….