Yanga SC 3-1 Namungo FC NBC Premier League
Yanga SC 3- 1 Namungo FC, NBC Premier League, Mei 25, 2026, Uwanja wa KMC Complex pointi tatu zikiwa ni mali ya wenyeji wakibeba zote jumlajumla. Magoli ya Yanga SC yamefungwa na Duke Abuya dakika ya 26 na mawili yamefungwa na Allan Okello dakika ya 84 ikiwa ni goli lake 11. Goli pekee la Namungo…