Mahakama Ya Michezo Yaichapa Al Ahly Faini ya bilioni 1.53
Klabu ya Misri, Al Ahly, imepewa pigo kubwa la kifedha baada ya Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) kuiamuru kulipa fidia ya dola za Kimarekani 588,000 (takribani Shilingi bilioni 1.53 za Kitanzania) kwa aliyekuwa kocha wake, José Riveiro. Uamuzi huo umetolewa na Court of Arbitration for Sport (CAS) kufuatia mgogoro wa kisheria uliotokana na kusitishwa…