Ratiba ya NBC Premier League hii hapa ambapo kuna mechi kali zinatarajiwa kuchezwa viwanja vitatu tofauti ndani ya dakika 90.
TRA United itakuwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ikiwakabili Mtibwa Sugar, saa 10:00 jioni.
KMC FC vs Pamba Jiji FC Uwanja wa KMC Complex saa 12:30, jioni.
Dodoma Jiji FC vs Mashujaa FC, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, saa 3:00 usiku.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.
Team Canada forward Jonathan David (#7) watches as his shot is saved by the Iceland goalkeeper during an international friendly match between Canada and Iceland at BMO Field in Toronto, Ontario, Canada, on March 28, 2026. (Photo by Indrawan Kumala/NurPhoto) (Photo by Indrawan Kumala / NurPhoto via AFP)