Feisal anaongoza chati wafungaji Bongo

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum anaongoza chati ya wafungaji ndani ya NBC Premier League msimu wa 2025/26. Kiungo huyo amefunga jumla ya magoli 11 akiwa anaongoza usukani katika chati ya wakali wa kucheka na nyavu ni mali ya Azam FC. Kwenye eneo la ufungaji msimu huu ushindani umekuwa mkubwa huku kila timu ikiwa…

Read More

Ratiba ya NBC Premier League hii hapa

Ratiba ya NBC Premier League hii hapa ambapo kuna mechi kali zinatarajiwa kuchezwa viwanja vitatu tofauti ndani ya dakika 90.  TRA United itakuwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ikiwakabili Mtibwa Sugar, saa 10:00 jioni. KMC FC vs Pamba Jiji FC Uwanja wa KMC Complex saa 12:30, jioni.  Dodoma Jiji FC vs Mashujaa FC, Uwanja wa…

Read More

Wachezaji wa Arsenal Waruka Kwa Furaha Baada ya Kutangazwa Mabingwa

Furaha kubwa ilitawala ndani ya kambi ya Arsenal baada ya timu hiyo kutangazwa rasmi kuwa mabingwa kufuatia Manchester City kushindwa kupata ushindi katika mchezo wao dhidi ya Brighton. Arsenal walikuwa tayari wamefanya kazi yao mapema baada ya kuichapa Burnley siku ya Jumatatu, hali iliyoweka presha kubwa kwa Manchester City ambao walihitaji ushindi ili kuendelea kusubiri…

Read More