Taifa Stars imepangwa Kundi L katika droo ya kufuzu AFCON 2027, kundi ambalo lina timu za Nigeria national football team, Madagascar national football team na Guinea-Bissau national football team.
Ratiba ya mechi za kufuzu itakuwa kama ifuatavyo:
• Mzunguko wa kwanza na wa pili: Septemba 21 hadi Oktoba 6, 2026.
• Mzunguko wa tatu na wa nne: Novemba 9 hadi Novemba 17, 2026.
• Mzunguko wa tano na wa sita: Machi 22 hadi Machi 30, 2027.
Makundi ya kuwania kufuzu AFCON 2027
Kundi A: Morocco, Gabon, Niger, na Lesotho.
Kundi B: Egypt, Angola, Malawi, na South Sudan.
Kundi C: Côte d’Ivoire, Ghana, The Gambia, na Somalia.
Kundi D: South Africa, Guinea, Kenya, na Eritrea.
Kundi E: Congo DR, Equatorial Guinea, Sierra Leone, na Zimbabwe.
Kundi F: Burkina Faso, Benin, Mauritania, na Central African Republic.
Kundi G: Cameroon, Comoros, Namibia, na Congo.
Kundi H: Tunisia, Uganda, Libya, na Botswana.
Kundi I: Algeria, Zambia, Togo, na Burundi.
Kundi J: Senegal, Mozambique, Sudan, na Ethiopia.
Kundi K: Mali, Cape Verde, Rwanda, na Liberia.
Kundi L: Nigeria, Madagascar, Tanzania, na Guinea-Bissau.