Simba SC wana msongo wa mawazo kisa kichapo

Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kwa sasa kikosi hicho kinakabiliwa na presha kubwa na msongo wa mawazo. Sababu kubwa inayofanya hayo yote ni kufuatia mzigo wa matokeo mabaya katika mechi 6 zilizopita za Kariakoo Dabi. Kwenye mechi hizo Simba SC ilipoteza na kipigo kikubwa Novemba 5,2023 baada ya…

Read More

Kariakoo Derby Kupigwa Amaan Complex Leo Usiku

Macho na masikio ya mashabiki wa soka nchini yataelekezwa Zanzibar usiku wa leo wakati watani wa jadi watakapokutana katika pambano la Kariakoo Derby. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa katika dimba la Amaan Stadium (Amaan Complex) kuanzia saa 2:15 usiku, huku presha ikiwa kubwa kwa kila upande kusaka ushindi muhimu. Kariakoo Derby imekuwa moja ya mechi zenye…

Read More

Yanga SC vs Simba SC taarifa mpya kuhusu Pacome

Yanga SC vs Simba SC taarifa mpya kuhusu Pacome imetolewa ambapo wababe hao wawili wanatarajia kukutana Uwanja wa New Amaan Complex. Pacome hakuwa sehemu ya mchezo dhidi ya JKT Tanzania ambapo Yanga SC ilipata ushindi wa magoli 5-0 anatajwa kuwa huenda leo Machi Mosi akawa sehemu ya kikosi mara baada yakufanya mazoezi na wachezaji wenzake….

Read More

Droo Yatingisha Ulaya: Man City Kukutana na Real Madrid

Hatua ya 16 bora imepangwa rasmi na sasa vigogo wa Ulaya wanakutana kwenye mapambano makali ya kusaka robo fainali: 🏴 Manchester City vs 🇪🇸 Real Madrid🏴 Chelsea vs 🇫🇷 Paris Saint-Germain🏴 Newcastle United vs 🇪🇸 Barcelona🏴 Liverpool vs 🇹🇷 Galatasaray🇩🇪 Bayer Leverkusen vs 🏴 Arsenal🏴 Tottenham Hotspur vs 🇪🇸 Atletico Madrid🇩🇪 Bayern Munich vs 🇮🇹…

Read More

Yanga SC vs Simba SC ni Machi Mosi 2026

Yanga SC vs Simba SC ni Machi Mosi 2026 kwa watani hawa kukutana Uwanja wa New Amaan Complex kusaka pointi tatu. Tayari mwamuzi wa mchezo wa kati jina lake lipo wazi ambaye ni Nassoro Mwinchui kutoka Tanga atahukumu mchezo huo. Yanga SC ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 28 baada ya mechi 10 wanakutana…

Read More

Meridianbet Yajitoa Kwa Wenye Uhitaji Mwezi Huu Mtukufu Wa Ramadhani

Wakati mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ukiwa unaendelea, Meridianbet imeonyesha mshikamano wake wa kijamii kwa kutoa msaada wa vyakula na mahitaji muhimu kwa familia zenye uhitaji wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Hatua hii imelenga kuwasaidia wananchi wanaokabili changamoto za maisha, hasa wakati wengi wakiendelea na ibada ya kufunga kila siku. Kupitia mpango wake…

Read More