Mzuka Wa Wild White Whale Unakupa Mizunguko Rundo Ya Bonasi

Msisimko wa kasino umeongezeka tena baada ya Meridianbet kuweka ofa maalum kwenye mchezo wa Wild White Whale, ikiwapa wachezaji nafasi ya kupata mizunguko 50 ya bure. Mchezaji anayekamilisha mizunguko 100 katika mchezo huo anastahili kupata mizunguko hiyo ya ziada. Ni hatua inayoweza kufanya safari ya mchezo kuwa ndefu zaidi huku ikiongeza burudani kwa wachezaji wanaofurahia Wild White Whale.

Hapa hakuna kuangalia kama mizunguko yako 100 ya kwanza imeleta ushindi au la. Zawadi ya mizunguko 50 inategemea kukamilisha idadi inayotakiwa, si matokeo ya mchezo. Hivyo, baada ya kufikisha mizunguko 100, mizunguko mingine 50 ya bure itaingia moja kwa moja kwenye akaunti yako. Kwa mchezaji, hii ni nafasi ya kuendelea na mchezo bila kulipia mizunguko hiyo ya ziada.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Utaratibu wa kushiriki ni rahisi. Hakikisha una akaunti halali ya Meridianbet, kisha cheza Wild White Whale kwa kutumia pesa halisi. Ukifikisha mizunguko 100, utapokea mizunguko 50 ya bure moja kwa moja kwenye akaunti yako. Hata hivyo, ofa hii inahusu mteja mmoja tu kwa kila akaunti, hivyo masharti hayo yanapaswa kuzingatiwa wakati wa kushiriki.

Mizunguko 50 ya bure haina masharti ya kucheza tena, hivyo mchezaji anaweza kufurahia ushindi unaopatikana kupitia mizunguko hiyo kwa mujibu wa masharti yanayotumika. Meridianbet pia imehifadhi haki ya kubadilisha au kusitisha promosheni wakati wowote bila taarifa ya awali. Kwa hiyo, kabla ya kuingia kwenye mchezo, ni vyema kusoma na kuelewa masharti ya ofa.

Ukitaka kujaribu bahati yako katika Wild White Whale, sasa kuna sababu nyingine ya kuingia kwenye mchezo. Tembelea Meridianbet au tumia application ya Meridianbet, anza safari yako ya mizunguko 100 na ufungue milango ya mizunguko 50 bure.