Bodi ya Ligi Yatembeza Faini Polisi na Geita Gold, Massanza Apigwa Faini ya Mil 10
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza adhabu mbalimbali dhidi ya klabu, viongozi na waamuzi kutokana na makosa yaliyotokea katika michezo ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/27. Katika taarifa iliyotolewa Septemba 4, 2026, TPLB imesema adhabu hizo zimehusisha makosa ya nidhamu, kuchelewa uwanjani, kukiuka taratibu za mechi pamoja na udhibiti wa waandishi wa…