Meridianbet Yatoa Milioni 10 Taslimu Kupitia Expanse VIP Tournament

Meridianbet Yatoa Milioni 10 Taslimu Kupitia Expanse VIP Tournament

Expanse VIP Tournament ni moja ya promosheni ya Meridianbet inayoendelea kufanya vizuri mjini, inatoa zawadi kubwa ya milioni kumi taslimu ikiwa inashindaniwa kwa kucheza michezo ya kasino iliyotengenezwa na Expanse ambayo ipo ndani ya Meridianbet. Jisajili hapa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha ushindi.

Promosheni hii ilianza June 21 na itaendelea hadi June 30, 2026 ambapo. Katika promosheni hii unapokuwa unacheza mchezo wako pendwa kati ya ile 10 iliyotengenezwa na Expanse, dau la chini kwa kila mchezo ni Tsh 2,000/=.

Promosheni inaendeshwa kwa kutumia mfumo wa mashindano kwa wachezaji kwenye sloti maalum zinazotolewa na Expanse Studio. Michezo ya kasino ya mtandaoni itakayotumika wakati wa promosheni ni Pia Premium, 100 Super Icy, God of Coins, Leprechaun Wish, Pinata Loca, Wild Icy Fruits, Wild White Whale, Meridian Icy Fruits, Candy’s Bonanza na Zombie Apocalypse.

Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba na nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10#.

Na kutokana na msimamo wa mwisho wa mashindano, wachezaji 20 watazawadiwa pesa taslimu kama ifuatavyo;

  • Nafasi ya Kwanza: 2,500,000 TZS Taslimu
  • Nafasi ya Pili: 1,800,000 TZS Taslimu
  • Nafasi ya Tatu: 1,000,000 TZS Taslimu
  • Nafasi ya 4 na 5: 850,000 TZS Taslimu
  • Nafasi ya 6 hadi 10: 300,000 TZS Taslimu

Na kuanzia nafasi ya 11 mpaka 20 watajishindia 150,000 TZS Taslimu

Fursa ndo hii kwa wewe mpenzi wa michezo ya kasino mtandaoni, sasa unacheza ukitafuta ushindi huku ukiwa na matumaini makubwa ya kupokea fungu lako la zawadi ya ushindi. Muda wa kufanya maamuzi sahihi ndo huu sasa. Fungua akaunti yako ya Meridianbet, weka dau lako na uanze kushiriki michezo hii pendwa huku ukitengeneza nafasi ya ushindi.