Home Sports VIDEO:HAJI MANARA KUOMBA MBINU KWA SIMBA

VIDEO:HAJI MANARA KUOMBA MBINU KWA SIMBA

HAJI Manara, Mtanzania ambaye ni balozi wa Timu ya Taifa ya Burundi, leo Juni 6,2022 amesema kuwa kuelekea kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Afcon kwa timu ya Taifa ya Burundi dhidi ya Cameroon iliyo kundi C unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa,Juni 9 ni wakati wa Watanzania pamoja na Warundi kuungana kuweza kuishangilia Burundi.

Pia amesema kuwa ataomba mbinu kutoka kwa Ofisa Habari wa Simba, (Ahmed Ally) katika mbinu za kuweza kuipromote timu hiyo kuelekea mchezo huo ili waweze kupata mashabiki wengi.

Previous articleBREAKING:BIASHARA UNITED YAVUNJA BENCHI LA UFUNDI
Next articleMTAMBUE STRAIKA MPYA YANGA AMBAYE AMEMTAJA CHAMA