VIDEO:HAJI MANARA KUOMBA MBINU KWA SIMBA

HAJI Manara, Mtanzania ambaye ni balozi wa Timu ya Taifa ya Burundi, leo Juni 6,2022 amesema kuwa kuelekea kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Afcon kwa timu ya Taifa ya Burundi dhidi ya Cameroon iliyo kundi C unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa,Juni 9 ni wakati wa Watanzania pamoja na Warundi kuungana kuweza kuishangilia Burundi. Pia amesema…

Read More

BREAKING:BIASHARA UNITED YAVUNJA BENCHI LA UFUNDI

RASMI uongozi wa Biashara United umevunj benchi la ufundi kutokana na mwendo mbaya wa timu hiyo. Ni Vivier Bahati, aliyekuwa Kocha Mkuu wa iashara United pamoja na msaidizi wake. Ofisa Habari wa Biashara United Salma Thabit amesema kuwa wanatambua mchango ambao wameweza kuongoza kwenye mechi zao. “Tunajua kwamba benchi la ufundi limekuwa na mchango mkubwa…

Read More

KUMUONA GEORGE MPOLE,SAMATTA BUKU 3

 BAADA ya kupata sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Niger nchini Benin sasa hesabu za timu ya Taifa ya Tanzania ni kuelekea kwenye mchezo ujao dhidi ya Algeria unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Juni 8, mashabiki wajitokeze kwa wingi kwani huu ni mchezo muhimu kwetu na ushindi wetu ni furaha…

Read More

BURUNDI KUCHEZA NA CAMEROON UWANJA WA MKAPA

TIMU ya Taifa ya Burundi inatarajia kukabiliana na Timu ya Taifa ya Cameroon katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, Juni 9,2022. Kuelekea mchezo huo, Shirikisho la Soka la Burundi kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu, Riziki Jacob limeishukuru Tanzania kwa kuikaribisha timu hiyo pamoja na ukarimu walioupata kutoka kwa wadhamini wao Kampuni ya…

Read More

KAZI INAENDELEA KWA TIMU ZA TAIFA,MUHIMU MIPANGO

WAMEANZA kwa mwendo mzuri wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars kwenye mchezo wao wa kuwania kufuzu AFCON dhidi ya Niger. Sare ya kufungana bao 1-1 ugenini haina ubaya lakini ni muhimu kuweza kuendelea kuongeza juhudi hasa kwa mechi ambazo zinakuja ili kuweza kufuzu Afcon.   Mchezo ujao wachezaji bado wana kazi ya kusaka…

Read More

MWENDO WA CHICO USHINDI YANGA UPO HIVI

WAKUMUITA Chico Ushindi ni kiungo ambaye ni mali ya Yanga akiwa anatimiza majukumu yake anayopewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Tupo naye leo kwenye mwendo wa data huku dakika za Ushindi ndani ya ligi zikiwa ni 210 namna hii:- Mechi zake na Viwanja Polisi Tanzania, dk 12, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid  Mbeya City,dk 7,…

Read More

SALAH AINGIA ANGA ZA BARCELONA

IMEELEZWA kuwa Barcelona imewasiliana na Mohamed Salah ili waweze kupata saini yake ndani ya kikosi hicho. Mshambuliaji huyo raia wa Misri amebakiza mwaka mmoja kumaliza mkataba wake ndani ya Liverpool inayotumia Uwanja wa Anfield. Taarifa ya Daily Mirror inasema kuwa Barcelona ni kama wamemteka akili baada ya kumwambia kwamba wanahitaji awe ndani ya familia yao….

Read More

MRITHI WA PABLO APEWA MASHARTI MAZITO

IKIWA kwa sasa Simba wanasaka nafasi ya mrithi wa Pablo Franco aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, mabosi wa timu hiyo wamebainisha kwamba kocha ajaye lazima awe na ubora na akubali kufanya vizuri kimataifa. Pablo alifutwa kazi Simba Mei 31, mwaka huu na mafanikio yake makubwa ilikuwa ni kutwaa Kombe la Mapinduzi na kutinga robo…

Read More