WAKUMUITA Chico Ushindi ni kiungo ambaye ni mali ya Yanga akiwa anatimiza majukumu yake anayopewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi.
Tupo naye leo kwenye mwendo wa data huku dakika za Ushindi ndani ya ligi zikiwa ni 210 namna hii:-
Mechi zake na Viwanja
Polisi Tanzania, dk 12, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Mbeya City,dk 7, Uwanja wa Mkapa
KMC,dk 76, Uwanja wa Mkapa
Namungo,dk 28, Uwanja wa Mkapa
Mbeya Kwanza,dk 30, Uwanja wa Mkapa
Biashara United,57, CCM Kirumba
Pasi yake
Ametoa pasi 1 ya bao dk ya 51
Mguu
Mguu wa kulia pasi 1
Mguu wa kushoto pasi 0
Eneo
Nje ya 18 pasi 1 dhidi ya KMC
Kadi nyekundu 0
Bao 0