Saleh
KOCHA MPYA SIMBA APEWA SAA 48,GOMES AITAJA YANGA
OKTOBA 27 Championi Jumatano habari kubwa inazungumzia kuhusu kutimuliwa kwa Didier Gomes aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba na imeeleza kuwa kocha mpya amepewa saa...
SIMBA YAPANGWA NA RED ARROWS MTOANO SHIRIKISHO AFRIKA
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho, Simba wana kazi ya kupambana mbele ya Red Arrows FC katika mchezo wa kwanza ambapo watakuwa nyumbani.
Baada...
HAJI MANARA:TUMEJIPANGA KUSHINDA MBELE YA AZAM
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wanaamini mchezo wao dhidi Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 30 utakuwa na ushindani mkubwa ila wamejipanga...
GOMES AFUNGUKA KILICHOMUONDOA SIMBA – VIDEO
ALIYEKUWA kocha mkuu wa Simba, Didie Gomes amesema ameomba kujiondoa kwenye klabu hiyo baada ya kushinfwa kufikia malengo kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.
"Ninapenda...
BREAKING OLE KUBAKI MAN UTD
Meneja wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer anatarajiwa kusalia pale Old Trafford licha ya kipigo kikubwa alichokipata dhidi ya Liverpool.
BREAKING: SIMBA YATIMUA MAKOCHA WAKE WATATU
KLABU ya Simba imetangaza kuachana rasmi na Kocha wake Didier Gomes Da Rosa raia wa Ufaransa baada ya pande zote mbili kufikia maridhiano.
Hatua hii...
MAKOCHA SIMBA KUPIGWA CHINI
MAMBO ni magumu kwenye benchi la ufundi la Simba linaloongozwa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ambapo inaelezwa kuwa muda wowote ule wanaweza kuchimbishwa.
Mpaka wakati...
TENGENEZA MKWANJA KUPITIA MUENDELEZO WA NBA, EFL NA SERIE A
Ni wakati wa kutengeneza faida kwa dau utakaloliweka kwenye michezo ya wiki hii. NBA, Carabao Cup na Serie A kuendelea kutoa burudani ya faida....
OLE MBISHI KINOMANOMA ATAJA SABABU ZA KUBAKI UNITED
OLE Gunnar Solkajaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa ametoka mbali na timu hiyo jambo ambalo linamfanya azidi kubaki ndani ya timu hiyo.
Kocha...
SALAH NI MZEE WA MAREKODI TU MAJUU
MOHAMED Salah, nyota anayekipiga ndani ya Liverpool inayonolewa na Kocha Mkuu, Jurgen Klopp amekuwa na wakati mzuri kwa msimu huu wa 2021/22 akiendelea kuandika...
PROFESA JAY: UNAFIKI HAUTUSAIDII JAMBO LOLOTE LILE
MKONGWE wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Leonard Haule ‘Profesa Jay’ anasema kuwa, wasanii wanatakiwa kupendana na kuacha tabia za kinafiki kwa sababu wakiendekeza...
SIMBA MATUMAINI MAKUBWA NDANI YA LIGI KUU BARA
KOCHA msaidizi wa Simba, Hitimana Thiery amesema kuwa watarudi kwa nguvu zote kuhakikisha kuwa wanafanya vizuri katika michezo ya ligi kuu mara baada ya...
RONALDO :KUKOSOLEWA NI SEHEMU YA KAZI
MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Cristiano Ronaldo amebainisha kwamba kukosolewa ni sehemu ya kazi jambo ambalo yeye hana mashaka nalo katika maisha yake ya kila...
YANGA YAIPIGIA HESABU AZAM FC
OFISA Habari wa Yanga,Haji Manara amesema kuwa licha ya kutambua ubora wa Azam FC lakini anaamini kuwa kikosi cha Yanga kina uwezo mkubwa wa...
CONTE ATAJWA KURITHI MIKOBA YA OLE
KLABU ya Manchester United inatajwa kuwa mbioni kumfukuza kazi kocha wake, Ole Gunner Solskjaer baada ya kipigo cha 5-0 kutoka Liverpool.
Kichapo hicho kimewakasirisha wengi...
USALITI WATAJWA ISHU YA KIPIGO CHA SIMBA
UKURASA wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne lipo mtaani nakala yake ni jero tu.
NGUMU KUMFANANISHA SALAH NA RONALDO
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool ambaye anaamini kwamba nyota wake Mohamed Salah ni moja ya wachezaji bora kwa sasa duniani ila ni ngumu...