Saturday, May 4, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7763 POSTS 0 COMMENTS

CITY YAONJA JOTO YA JIWE BAADA YA MIAKA MITANO

0
KLABU ya Manchester City inayonolewa na Kocha Mkuu, Pep Guardiola juzi walitupwa nje kwenye michuano ya Kombe la Carabao kwa mara ya kwanza baada...

KIUNGO HUYU KUSEPA MANCHESTER UNITED

0
KIUNGO wa Klabu ya Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu England, Paul Pogba ataondoka bure ndani ya kikosi hicho msimu wa 2021/22 utakapomeguka kwa...

POGBA AFUNGIWA,KOEMAN ATIMULIWA NA REKODI MBAYA

0
KIUNGO Paul Pogba wa Manchester United imeripotiwa kuwa amefungiwa,United watangaza kuachana naye, Koeman atimuliwa na rekodi mbaya ni ndani ya Championi Ijumaa nakala yake...

UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
HABARI kubwa ambayo imepewa kipaumbele gazeti la Championi Ijumaa imewataja nyota watano ambao wamemchomesha Gomes, pia kuna suala la Yanga kuzidi kuwa tamu pamoja...

WIKIENDI BOMBA NDANI YA EPL, SERIE A NA LIGUE 1

0
Ni wikiendi inayopamba na michezo kadhaa ya kukata na shoka kwenye ulimwengu wa soka barani Ulaya. EPL, Serie A na Ligue 1, zinaweza kukupatia...

KOEMAN APEWA MKONO WA KWAHERI BARCELONA

0
RONALD Koeman amefutwa kazi jumlajumla ndani ya kikosi cha Barcelona kinachoshiriki La Liga nchini Hispania ikiwa ni baada ya miezi 14 kutumia katika...

MBRAZIL WA SIMBA KUSAINI YANGA

0
MILTON Nienov, raia wa Brazil aliyekuwa kocha wa makipa ndani ya Simba kabla ya kuchimbishwa Oktoba 26 amesema kuwa kwa sasa yupo tayari kusaini...

HUU HAPA MSIMAMO WA LIGI KUU BONGO

0
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2021/22 upo namna hii ambapo vinara ni Yanga walio na pointi 9 baada ya kucheza mechi...

MASTAA YANGA WATANGAZA MGOMO,SIMBA WASHINDA USIKU

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Ahamisi, Oktoba 28 lipo mtaani nakala yake ni 500 tu

SIMBA YASHINDA MBELE YA POLISI TANZANIA

0
KIKOSI cha Simba leo Oktoba 27 kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja...

RAIS SAMIA AWAPA VIWANJA WACHEZAJI WA TWIGA STARS

0
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amewapatia viwanja jijini Dodoma wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya...

ANSU ANAAMINI HAWEZI KUMFIKIA MESSI

0
KINDA wa Barcelona, Ansu Fati amesema kuwa alipata ofa nyingi sana lakini akaamua kubaki Barcelona na wala hana wasiwasi kuvaa jezi ya Lionel Messi. Fati...

AZAM FC WAPEWA ONYO NA TFF

0
BAADA ya uongozi wa Azam FC, kuwasimamisha wachezaji wao, Aggrey Morris, Aboubakary Salum ‘Sure Boy’ na Mudathir Yahaya kwa muda usiojulikana, Shirikisho la Soka...

FEI TOTO: BADO NINA NAFASI YA KUFANYA VIZURI YANGA

0
KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amefunguka kuwa bado anaiona nafasi yake katika kikosi cha timu hiyo kutokana na malengo aliyojiwekea kwamba anahitaji...

MOUNT ACHEKELEA KUWATUNGUA NORWICH

0
OKTOBA 23, Mason Mount nyota wa Chelsea mwenye miaka 22 aliandika rekodi yake tamu kwa kufunga hat trick mbele ya Norwich kwenye mchezo wa...

NYOTA SIMBA AIPA UBINGWA YANGA

0
NYOTA wa zamani wa Klabu ya Simba, raia wa Ghana Nicholas Gyan amesema kuwa Yanga ya msimu huu ni bora kuliko Yanga zote za...

KOCHA MPYA SIMBA APEWA SAA 48,GOMES AITAJA YANGA

0
OKTOBA 27 Championi Jumatano habari kubwa inazungumzia kuhusu kutimuliwa kwa Didier Gomes aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba na imeeleza kuwa kocha mpya amepewa saa...