Saturday, May 4, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7758 POSTS 0 COMMENTS

TUMAINI MABIGWA MERIDIAN BET STREET SOCCER BONANZA

0
  Timu ya Tumaini imetwaa ubingwa wa mashindano ya mtaani ya Meridian Bet street soccer bonanza yaliyofanyika leo Jumamosi kwenye uwanja wa Mwembeyanga, Temeke. Bonanza hilo...

TANZIA:MCHEZAJI WA SIMBA AFARIKI DUNIA

0
MHEZAJI wa zamani wa Klabu ya Simba Yahaya Akilimali amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 30, 2021. Mauti yamemfikia mchezaji huyo akiwa Ujiji Mkoani...

DAKIKA 450 ZA MOTO KWA GOMES

0
LICHA ya kwamba ameshabwanga manyanga ndani ya kikosi cha Simba, Didier Gomes raia wa Ufaransa kuna mechi nyingi ambazo alizishuhudia kwake zilikuwa ni za...

HAZARD AWEKWA RADA ZA CHELSEA

0
NYOTA wa Real Madrid, Eden Hazard ambaye mambo kwake yamekuwa magumu ndani ya kikosi hicho anatajwa kuingia kwenye rada za Newcastle pamoja na Chelsea. Nyota...

KITAWAKA LEO SPURS V UNITED,POGBA ‘OUT’

0
LEO Oktoba 30 kutakuwa na mchezo mkali wa Ligi Kuu England ambapo Manchester United watakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Tottenham...

PRINCE DUBE NA NYOTA HAWA WATATU KUIKOSA YANGA

0
UKISUBIRIWA muda tu kwa sasa kwa matajiri wa Dar, Azam FC kumenyana na Yanga leo Uwanja wa Mkapa nyota wake wanne wanatarajiwa kuukosa mchezo...

ISHU YA BANGALA KUIKOSA AZAM IPO HIVI, WENGINE HAWA HAPA

0
KUELEKEA katika mchezo wa Dabi ya Dar es Salaam leo Uwanja wa Mkapa kati ya Yanga dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kuchezwa saa 1:00...

KOCHA MJERUMANI AANDALIWA MIKOBA SIMBA, NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
CHAMPIONI Jumamosi ukurasa wa mbele habari kubwa inaeleza kwamba Kocha Mjerumani aandaliwa mikoba Simba,Yanga wasema hawana presha na kesi ya Morrison CAS

OLE BADO YUPO SANA MANCHESTER UNITED

0
Kocha Mkuu wa Manchester Unite, Ole Gunnar Solskjaer anatarajiwa kubaki na kuendelea kuinoa timu hiyo licha ya mwendelezo wa matokeo mabovu hususani ya bao...

NABI AWAPA MAAGIZO WACHEZAJI WAKE

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ni kama amewajaza upepo washambuliaji wa timu hiyo akiwemo Fiston Mayele kwa kuwa waambia kuwa wanauwezo mkubwa wa kufunga mabao mengi katika kila mchezo ikiwa tu wataamua kuzitumia...

HUKUMU YA MORRISON NA CAS KUTOLEWA

0
TAREHE ambayo hukumu ya kesi kati ya klabu ya Yanga na mchezaji Bernard Morrison ilikuwa imepangwa, imesogezwa tena mbele hivyo inatarajiwa kutolewa Novemba 23,...

KOCHA YANGA AOMBA KAZI SIMBA … SOMA HAPA

0
KATIKA rundo la CV ambazo Simba imezipokea kwa ajili ya nafasi ya kocha mkuu wa timu hiyo, kuna majina ya makocha kadhaa waliowahi kuifundisha...

CITY YAONJA JOTO YA JIWE BAADA YA MIAKA MITANO

0
KLABU ya Manchester City inayonolewa na Kocha Mkuu, Pep Guardiola juzi walitupwa nje kwenye michuano ya Kombe la Carabao kwa mara ya kwanza baada...

KIUNGO HUYU KUSEPA MANCHESTER UNITED

0
KIUNGO wa Klabu ya Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu England, Paul Pogba ataondoka bure ndani ya kikosi hicho msimu wa 2021/22 utakapomeguka kwa...

POGBA AFUNGIWA,KOEMAN ATIMULIWA NA REKODI MBAYA

0
KIUNGO Paul Pogba wa Manchester United imeripotiwa kuwa amefungiwa,United watangaza kuachana naye, Koeman atimuliwa na rekodi mbaya ni ndani ya Championi Ijumaa nakala yake...

UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
HABARI kubwa ambayo imepewa kipaumbele gazeti la Championi Ijumaa imewataja nyota watano ambao wamemchomesha Gomes, pia kuna suala la Yanga kuzidi kuwa tamu pamoja...

WIKIENDI BOMBA NDANI YA EPL, SERIE A NA LIGUE 1

0
Ni wikiendi inayopamba na michezo kadhaa ya kukata na shoka kwenye ulimwengu wa soka barani Ulaya. EPL, Serie A na Ligue 1, zinaweza kukupatia...