Friday, May 3, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7754 POSTS 0 COMMENTS

MABINGWA WATETEZI WABANWA MBAVU KWA MKAPA

0
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo Oktoba 31 wamebwana mbavu mbele ya Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara baada...

MESSI MAMBO MAGUMU PSG

0
NYOTA wa kikosi cha PSG, mshambuliaji Lionel Messi mambo kwake ni magumu kwenye ishu ya kucheka na nyavu baada ya kuweka rekodi ya kucheza...

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA COASTAL UNION

0
LEO Oktoba 31 mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba wanatarajia kucheza na Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa...

ARSENAL GARI IMEWAKA HUKO

0
AARON Ramsdale kipa wa Arsenal aliweza kuwa imara akiwa langoni wakati timu yake iliposhinda mabao 2-0 dhidi ya Leicester City uliochezwa Uwanja wa King...

KOCHA NABI ATAJWA KUIBUKIA SIMBA

0
IMEELEZWA kuwa, licha ya Mwekezaji wa Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, kuachia nafasi ya Uenyekiti waBodi ya Wakurugenzi ya klabu hiyo, lakini bado anahusika kwenye baadhi ya mambo ikiwemo kipindi hiki...

HITIMANA AUTAKA UBINGWA SIMBA

0
HITIMANA Thiery, Kaimu Kocha Mkuu wa Simba amebainisha kuwa timu hiyo inahitaji kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa kuwa ni timu kubwa na...

FEI TOTO APELEKWA ULAYA

0
KITASA wa zamani wa Yanga ambaye sasa anakipiga ndani ya Polisi Tanzania, Said Juma Makapu, amesema anaamini kwa kiwango alichonacho kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, ni muda...

MERIDIAN BET, LIONS CLUB ZASAIDIA MATIBABU KWA WALEMAVU WA MACHO 100

0
  Waathirika 100 wenye ulemavu wa macho jijini Dar es Salaam, wamepatiwa huduma ya kupima, matibabu na vifaa tiba katika kambi maalumu ya kupima macho...

UTAZAME MSIMAMO WA LIGI KUU BARA

0
MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 kwa wakati huu upo namna hii ambapo vinara wa Ligi Kuu Bara ni Yanga inayonolewa na...

MAMBO 7 YALIWATOA SIMBA KWENYE RELI LIGI YA MABINGWA

0
  KINYONGE kabisa wawakilishi pekee katika mashindano ya kimataifa Simba wanakwenda katika Kombe la Shirikisho baada ya Oktoba 24 kutolewa kizembe Uwanja wa Mkapa kwa...

SOLKJAER AWAPONGEZA WACHEZAJI WAKE KWA USHINDI

0
OLE Gunnar Solskjaer,  Kocha Mkuu wa Manchester United amewapongeza wachezaji wake kwa mbinu na uwezo walioonyesha katika mchezo wao wa Ligi Kuu England na...

MASTAA YANGA WAOGA MAMILIONI, SIMBA WANA JAMBO LAO

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili nakala yake ni 500, unaambiwa mastaa Yanga waoga mamilioni na Kocha Mkuu wa Simba,...

YANGA YAITUNGUA AZAM KWA MKAPA

0
DAKIKA 90, zimemalizika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa huku Yanga wakiibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa NBC...

TUMAINI MABIGWA MERIDIAN BET STREET SOCCER BONANZA

0
  Timu ya Tumaini imetwaa ubingwa wa mashindano ya mtaani ya Meridian Bet street soccer bonanza yaliyofanyika leo Jumamosi kwenye uwanja wa Mwembeyanga, Temeke. Bonanza hilo...

TANZIA:MCHEZAJI WA SIMBA AFARIKI DUNIA

0
MHEZAJI wa zamani wa Klabu ya Simba Yahaya Akilimali amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 30, 2021. Mauti yamemfikia mchezaji huyo akiwa Ujiji Mkoani...

DAKIKA 450 ZA MOTO KWA GOMES

0
LICHA ya kwamba ameshabwanga manyanga ndani ya kikosi cha Simba, Didier Gomes raia wa Ufaransa kuna mechi nyingi ambazo alizishuhudia kwake zilikuwa ni za...

HAZARD AWEKWA RADA ZA CHELSEA

0
NYOTA wa Real Madrid, Eden Hazard ambaye mambo kwake yamekuwa magumu ndani ya kikosi hicho anatajwa kuingia kwenye rada za Newcastle pamoja na Chelsea. Nyota...