Tuesday, May 7, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7783 POSTS 0 COMMENTS

MAJEMBE HAYA MAWILI KUIBUKIA YANGA

0
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wamemalizana na nyota wawili kwa ajili ya msimu ujao wa 2022/23 kwenye ligi na mechi za kimataifa. Ni Stephan Aziz...

MNIGERIA WA SIMBA ATAJWA YANGA

0
KIUNGO Victor Akpan mali ya Coastal Union anatajwa kuwavuruga vigogo ambao wanawania saini yake kwa sasa. Ni Simba walianza kuiwania saini ya kiungo huyo ambaye...

MWAMBA HUYU HAPA KUTUA YANGA,YEYE NI BEKI

0
IMEELEZWA kuwa Yanga ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya nyota Joyce Lomalisa ambaye anakipiga Klabu ya Sagrada Esperanca ya Angola. Nyota huyo ni beki...

KISA UBINGWA WA LIGI, SIMBA WAIBUKA,YANGA WAJIBU

0
MUDA mfupi baada ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kuweza kufanikisha lengo la kuwa mabingwa watani zao wa jadi Simba...

YANGA YATWAA UBINGWA WA 28 BONGO

0
YANGA imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Mchezo huo ulikuwa...

MKOMBOZI WA SIMBA KWENYE MAJUKUMU MAZITO

0
SIMBA iliyo chini ya Kocha Msaidizi Seleman Matola imemtambulisha rasmi nyota Moses Phiri ambaye alikuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Zanaco. Huu unakuwa ni usajili...

YANGA:UBINGWA ASILIMIA 99

0
 HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa kwa sasa licha ya kwamba bado hawajashinda ila ni suala...

HIVI NDIVYO PABLO ATAKAVYOFANYA USAJILI SIMBA

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa, kocha wao mpya atatumia ripoti ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mhispania, Pablo Franco kwa ajili ya kufanya...

M-BET YAIPIGA TAFU TASWA SC

0
KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha nchini, M-Bet Tanzania imeisaidia vifaa vya michezo timu ya Waandishi wa Habari za michezo nchini, Taswa SC kwa ajili...

SIMBA YAFUNGUKIA KUMREJESHA LUIS

0
BAADA ya tetesi nyingi kuzagaa za kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Luis Miquissone raia wa Msumbiji kurejea katika timu hiyo, uongozi wa Simba...

UBINGWA WA 28 WANUKIA LEO YANGA

0
JUNI 15, Uwanja wa Mkapa saa 2:30, Yanga v Coastal Union ni mchezo wa mzunguko wa pili ule wa kwanza Uwanja wa Mkwakwani, ubao...

ENGLAND WANAAMINI KWAMBA WATASHINDA KOMBE LA DUNIA

0
NAHODHA wa timu ya Taifa ya England,Harry Kane amesema timu hiyo ina nafasi ya kushinda Kombe la Dunia 2022 litakalochezwa Novemba mwaka huu Qatar. England...

CHEKI VIGONGO VYA KAZI ZA MATOLA SIMBA

0
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Klabu ya Simba ana vigongo vitano ndani ya Juni kuweza kuiongoza timu hiyo kukamilisha mzunguko wa pili. Mabingwa hao watetezi...

MPANGO WA BIASHARA WAKWAMA KAITABA

0
MPANGO wa Biashara United kusepa na pointi tatu mbele ya Kagera Sugar ulikwama baada ya kushindwa kushinda. Huo ulikuwa ni mchezo wa kwanza wa Kocha...

KOCHA SIMBA AINGIA RADA ZA AZAM FC

0
WAKATI mabosi wa Simba wakitajwa kuwa kwenye mazungumzo na mtaalamu wa viungo ili aweze kuibuka ndani ya kikosi hicho ambaye ni Adel Zraine, vigogo...

MASHINE MPYA YANGA HII HAPA,NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO

0
MASHINE mpya Yanga hii hapa ni yule anayetoka Angola,jitu haswa

VIWANJA VINNE KUJENGWA SIMBA,MPANGO KAZI UPO HIVI

0
BARBARA Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa Simba amesema kuwa wana mpango wa kuwa na viwanja vinne kwenye eneo la Simba Mo Arena,Bunju kwa ajili ya...