Sunday, May 19, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7876 POSTS 0 COMMENTS

MSHAMBULIAJI MPYA YANGA AWATISHA SIMBA, ASEMA MAKOMBE MWANZO MWISHO

0
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Mzambia, Lazarus Kambole, amefunguka kuwa moja ya malengo yake ni kuhakikisha anaipa Yanga makombe mengi pamoja na kufikia malengo ya...

TETESI: MMILIKI MPYA CHELSEA AKUTANA NA WAKALA WA RONALDO

0
Mmiliki mpya wa Klabu ya Chelsea, Todd Boehly amekutana na Jorge Mendes ambaye ni Wakala wa Cristiano Ronaldo ikidaiwa wamezungumza kuhusu usajili wa Mshambuliaji...

FT:MBEYA CITY 1-1 YANGA, UWANJA WA SOKOINE

0
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Mbeya City dhidi ya Yanga umekamilika Uwanja wa Sokoine kwa timu zote mbili kugawana pointi mojamoja. Ni Yanga...

KOMBE LIPO UWANJA WA SOKOINE,MBEYA CITY 0-1 YANGA

0
 KOMBE Jipya la Ligi Kuu Bara la NBC lipo Uwanja wa Sokoine, Mbeya,ambapo mabingwa wa msimu wa 2021/22 watakabidhiwa mara baada ya kukamilisha dk...

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA MBEYA CITY

0
 HIKI hapa kikosi cha Yanga dhidi ya Mbeya City,Uwanja wa Sokoine Mbeya hiki hapa:- Diarra Djuma Yassin Mwamnyeto Job Bangala Aucho Sure Boy Ushind Makambo

WAPE TABASAMU KUFANYIKA UWANJA WA SABASABA,MORO

0
ANAANDIKA Dickson Job,beki wa kikosi cha Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Starsnamna hii:-Habari watanzania. Mimi ni DICKSON JOB mchezaji wa Klabu ya...

KLOPP BADO ANAMKUMBUKA MANE

0
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool anaamini kwamba kuondoka kwa Sadio Mane ni jamo gumu kwake kwenda nalo sawa kwa sasa.  Mane raia wa Senegal...

RATIBA YA LIGI KUU BARA IPO HIVI

0
LEO Juni 25 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo ratiba yake ni moto kwa timu zinazopambana kushuka daraja kwa kuwa hatma yao itaanza kufahamika...

YANGA KUIKABILI MBEYA CITY

0
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo kitakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Mbeya City kwenye mchezo unaotarajiwa kuwa...

GEITA GOLD YAFUNGIWA NA FIFA KUSAJILI

0
SHIRIKISHO la Kimataifa la Soka (FIFA) limeifungia Klabu ya Geita Gold kusajili wachezaji hadi itakapomlipa aliyekuwa kocha wa timu hiyo Ettiene Ndayiragije. Kocha huyo raia...

HUYU HAPA WINGA MKENYA WA SIMBA,YANGA YAFUATA BEKI GHANA

0
Simba wamepania,yashusha winga Mkenya Dar na unaambiwa Yanga yashituka yafuata beki Ghana ndani ya Championi Jumamosi

SAUTI:HESABU ZA KMC NI KUIMALIZA BIASHARA UNITED

0
CRISTINA Mwagala, Ofisa Habari wa KMC amesema kuwa kesho watakuwa kwenye msako wa pointi tatu muhimu dhidi ya Biashara United kwenye mchezo wa ligi...

MCAMEROON KUCHUKUA MIKOBA YA LWANGA SIMBA

0
WAKATI wakijua kuwa wataachana na kiungo wao mkabaji, Taddeo Lwanga, uongozi wa Simba upo kwenye mawindo makali ya kumchukua kiungo Cedric Zemba Ekong raia...

YANGA WASHITUKA, YAFUATA BEKI GHANA

0
MABOSI wa Yanga wameiangalia ripoti ya Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi haraka wakachukua maamuzi magumu ya kumfuata beki Mghana, Mohammed Alhassani. Beki huyo...

SIMBA WAMEPANIA, YASHUSHA WINGA MKENYA DAR

0
JANA asubuhi sana Simba ilimshusha winga wa kimataifa raia wa Kenya, Harrison Mwendwa kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya kumsajili kuelekea katika msimu ujao. Simba...

SAUTI:SIMBA QUEENS NA FOUNTAIN GATE KUTAMBULISHA WACHEZAJI KESHO

0
UWANJA wa Mkapa, kesho Juni 25,2022 unatarajiwa kuchezwa mchezo wa hisani kati ya mabingwa wa Ligi ya Wanawake Tanzania, Simba Queens dhidi ya washindi...

NYOTA BIASHARA UNITED KUSEPA MSIMU UKIISHA

0
 NYOTA wa Biashara United, Ramadhan Chombo ‘Redondo’ ameweka wazi kuwa msimu ujao atakuwa nje ya Biashara United ambayo anaitumikia kwa sasa. Ikumbukwe kwamba nyota huyo...