Singida Black Stars 5-1 Mbeya City FC
Singida Black Stars 5-1 Mbeya City FC matokeo ya mchezo wa leo Aprili 12, 2026 kwenye hatua ya 16 bora CRDB Federation Cup. Ni mchezo ambao umechezwa Uwanja wa Airtel huku wenyeji Singida Black Stars wakikata tiketi yakutinga hatua ya robo fainali kwa ushindi mnono dhidi ya wageni ndani ya dakika 90. Magoli ya Singida…