FT: TRA United 0-0 Simba SC
Ubao wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid umesoma TRA United 0-0 Simba SC. Umiliki wa mpira ilikuwa ni asilimia 39 kwa wenyeji na wageni asilimia 61. Huu ni mchezo wa mzunguko wa kwanza ambao ulikuwa ni kiporo baada ya mwanzo mchezo huu kuahirishwa kutokana na mvua kubwa kunyeshwa. Matokeo hayo yanaifanya Simba SC kufikisha jumla…