Vita ya Barcelona, Atletico Kuhamia UCL, Nani kuibuka Mshindi leo?

Sahau hadithi za kulipiza kisasi au mbinu za kizamani, leo usiku ni suala la ubora halisi wa wachezaji uwanjani. Barcelona wana uwanja wao (Spotify Camp Nou) na wana ubora wa mtu mmoja mmoja. Ukimpa Lamine Yamal nafasi, atakupiga kama umemkosea heshima. Atletico wana Griezmann na Alvarez, ambao wakipewa nafasi ya kukimbia, wanakuwa kama wizi wa usiku.

Kwa mujibu wa head-to-head za mwisho, rekodi inaonyesha mambo yanaweza kutokea kwa wingi. Tumeona 4-4 (Feb 25, 2025)  na pia 3-0. Hii inamaanisha kwamba ulinzi wa timu zote mbili unaweza kuporomoka kwa urahisi.

Barcelona wanamkosa Raphinha, ambaye alikuwa kama mwenge wao muhimu. Hata hivyo, wana Ferran Torres aliye kwenye form na Dani Olmo anayeweza kufanya tofauti. Kwa upande wa Atletico, kukosekana kwa Johnny Cardoso na kukatika kwa Rodrigo Mendoza kunaweza kufanya timu yao ionekane dhaifu katikati . Lakini Simeone si mtu wa kuomba msamaha bali atatumia makosa ya Barca.

Hansi Flick ameonyesha katika msimu huu kwamba ana uwezo wa kuunda timu inayowinda, lakini pia ameonyesha kwamba anapokosa vigezo muhimu anakuwa kama dereva asiye na ramani . Barcelona wameanza michuano hii kwa kishindo, lakini walipokutana na Atletico kwenye La Liga mwezi December, walifunga 3-1. Leo wako nyumbani, hivyo wana nafasi kubwa ya kuwa na possession.

Mabingwa wa kutoa Odds kubwa tayari wamsha zitoa unaachaje maokoto wahi sasa

Hata hivyo, Atletico wanajulikana kwa uwezo wao wa kuvumilia na kurarua kwa kutumia kasi. Wakiweza kuhimili shambulio la mapema la Barca, basi wanaweza kuwapata kwenye mashambulizi ya kurudisha.

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kwenye mtazamo inaonyesha kuwa licha ya sifa za Simeone, wakubwa wa ulaya bado wanamwogopa Barca kuliko Atletico. Leo ni mtihani wa ukweli. Ikiwa Barca watafanya makosa ya kujilinda kwenye ulinzi wao wa hali ya juu, basi wataadhibiwa. Ila kama wataweza kucheza kwa utulivu, ubora wa nyota wao unaweza kuwapeleka mbele.

Tazama namna Atletico watakavyoanza. Kama wataamua kujilinda tangu mwanzo, huo utakuwa mtego. Barcelona lazima wawe wavumilivu, wasiwe na pupa ya kufunga mapema kwa sababu ni wapo nyumbani. Jisajili sasa