FT: Pamba Jiji FC 0-3 Yanga SC

Dakika 90 zimekamilika kwenye mchezo wa leo huku ubao ukisoma Pamba Jiji FC 0-3 Yanga SC, Aprili 8, 2026 kwenye NBC Premier League, Uwanja wa CCM Kirumba. Magoli ya Yanga SC yamefungwa na Mudathir Yahya dakika ya 8 na 34 huku goli la tatu likifungwa na Maxi Nzengeli dakika ya 66 ya mchezo. Ni Allan…

Read More

Pamba Jiji 0-2 Yanga SC, NBC Premier Leagu

Pamba Jiji FC 0-2 Yanga SC NBC Premier League Aprili 8, 2026 Uwanja wa CCM Kirumba Magoli yamefungwa na  Mudathir Yahya dakika ya 8 na 34 Asisti zote zimetolewa na Allan Okello dk 8 na 34 Huu ni mchezo wa mzunguko wa pili 2025/26. Pamba Jiji FC wanatumia mfumo wa 4-3-3 huku Yanga SC wakitumia…

Read More