Pamba Jiji FC 0-2 Yanga SC
NBC Premier League
Aprili 8, 2026
Uwanja wa CCM Kirumba
Magoli yamefungwa na Mudathir Yahya dakika ya 8 na 34
Asisti zote zimetolewa na Allan Okello dk 8 na 34
Huu ni mchezo wa mzunguko wa pili 2025/26.
Pamba Jiji FC wanatumia mfumo wa 4-3-3 huku Yanga SC wakitumia mfumo wa 4-2-3-1.
Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza walipokutana ubao ulisoma Yanga SC 3-0 Pamba Jiji.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.