FT: Fountain Gate 0-3 Simba SC

Fountain Gate 0-3 Simba SC ni matokeo rasmi kwenye mchezo wa leo Aprili 15, 2026 NBC Premier League Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Mchezo wa leo ulianza kwa kasi katika dakika 44 za mwanzo ambapo Fountain Gate walikuwa wakijilinda zaidi na Simba SC ikitafuta goli la kuongoza. Ni kiungo Clatous Chama alifunga goli la…

Read More

Nusu Fainali ya UEFA Kitawaka leo; Bayern vs Real Madrid na Arsenal vs Sporting Pesa Ziko Hapa

Nusu Fainali hiyo inanukia leo kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Timu mbili zenye majina makubwa Duniani zinatarajia kuvaana haswa kutafuta nafasi ya kwenda hatua nyingine. Je nani unampa nafasi ya ushindi leo? Kwenye mechi ya mkondo wa kwanza kule Santiago Bernabeu Bayern walishinda 2-1 wakiwa wamecheza mchezo mzuri kabisa ambapo kama wangekuwa wametumia…

Read More

Fountain Gate vs Simba SC kupigwa leo

Fountain Gate vs Simba SC kupigwa leo Aprili 15, 2025 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa wababe hawa kusaka pointi tatu muhimu. Aboubakar Ally kocha wa Fountain Gate amesema kuwa wametoka kucheza mchezo wa CRDB Federation Cup dhidi ya Azam FC hivyo wamejiandaa kuwakabili wapinzani wao. “Tumejiandaa kwa ajili ya mchezo wetu dhidi ya Simba…

Read More

Djigui Diarra kamili kuwakabili Mbeya City

MLINDA mlango namba moja wa Yanga SC, Djigui Diarra ni ruksa kuwakabili Mbeya City kwenye mchezo ujao wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Aprili 16, 2026 Uwanja wa KMC Complex. Kipa huyo alifungiwa mechi 3 na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) kutokana na kosa la utovu wa nidhamu alilofanya mchezo wa ligi, Mtibwa Sugar 1-1…

Read More

Jonathan Sowah arejeshwa Simba SC

Jonathan Sowah amerejeshwa katika kikosi cha Simba SC kwa masharti afanye mazoezi na timu ya vijana chini ya miaka 20, (Simba SC U 20) Sowah raia wa Ghana alisimamishwa Februari timu ilipokuwa inajiandaa kuikabili Dodoma Jiji FC. Alikosekana kwenye mechi za ushindani ikiwemo mchezo wa Kariakoo Dabi, Yanga SC 0-0 Simba SC. Ahmed Ally, Meneja…

Read More

KMC FC vs Tanzania Prisons balaa zito leo

KMC FC vs Tanzania Prisons ni balaa zito leo ndani ya NBC Premier League inayotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex, saa 1:00 usiku. Utamu wa mechi ya leo unanogeshwa na vita yakupambana kushuka daraja kwa timu zote mbili ambapo wenyeji KMC FC wanaburuza mkiwa wakiwa na pointi 8 kwenye msimamo wa ligi. Tanzania Prisons ipo…

Read More

Fountain Gate vs Simba SC

Fountain Gate vs Simba SC ni mchezo unaofuata kwenye ratiba kwa wababe hawa kusaka pointi 3 ndani ya dakika 90. Fountain Gate kwenye msimamo ipo nafasi ya 14 ikiwa na pointi 16 baada ya mechi 17 ipo kwenye mstari wa kucheza play off. Simba SC ipo nafasi ya pili kwenye msimamo ikiwa na pointi 36…

Read More

UEFA Champions League: Atletico na PSG Kwenye Hatua ya Maamuzi Leo

Timu za Atletico Madrid na Paris Saint-Germain zinaingia dimbani leo usiku zikiwa na faida muhimu ya matokeo, zikisaka kulinda ushindi wao na kutinga nusu fainali ya UEFA Champions League. Atletico Madrid watakuwa nyumbani katika dimba la Wanda Metropolitano wakiwa mbele kwa mabao 2-0 dhidi ya Barcelona, hali inayowapa uhuru wa kucheza kwa tahadhari huku wakilinda…

Read More

Cardi B Aibua Mjadala Mkubwa Kuhusu Kifo cha Ashlee Jenae Kilichotokea Zanzibar

Rapa wa Marekani Cardi B amezua mjadala mkubwa mtandaoni baada ya kuzungumzia kifo cha influencer wa mitindo ya maisha, Ashlee Jenae, aliyefariki akiwa Zanzibar siku chache zilizopita. Kupitia chapisho lake kwenye mtandao wa X, Cardi B alipinga vikali taarifa zilizodai kuwa Ashlee alijiua, akisisitiza kwa maneno makali: “Msichana huyo hakujiua.” Kauli hiyo ilisambaa kwa kasi…

Read More

Baada ya Miaka 23, Prince Harry Arejea Uwanjani Sydney Kwenye Mechi ya Raga

Baada ya miaka 23 kupita, Prince Harry anatarajiwa kurejea kwenye uwanja wa raga jijini Sydney  tukio linaloamsha kumbukumbu za ushindi mkubwa wa England national rugby union team kwenye Rugby World Cup 2003. Miaka hiyo, Harry alikuwepo uwanjani wakati Jonny Wilkinson alipofunga drop goal ya mwisho iliyowapa ushindi England dhidi ya Australia national rugby union team…

Read More

Azam FC 4-0 Fountain Gate FC

Azam FC 4-0 Fountain Gate FC ni matokeo rasmi kwenye mchezo wa leo Aprili 12, 2026 Uwanja wa Azam Complex ikiwa ni hatua ya 16 bora. Matajiri wa Dar waligawa mchezo kwa kila dakika 45 wakipata magoli mawili ambapo walikwenda mapumziko ubao ukisoma Azam FC 2-0 Fountain Gate na kipindi cha pili wakaongeza magoli mawili….

Read More