Wakali za pasi za magoli NBC Premier League
Katika nyota 7 wa NBC Premier League wenye pasi nyingi 2025/26 kinara katika eneo hili ni kiungo mshambuliaji wa Azam FC Feisal Salum mwenye pasi 7 za magoli. Azam FC imekuwa kwenye mwendo bora ndani ya uwanja ikiwa ni timu namba moja kukusanya sare nyingi ambazo ni 10 na haijapoteza kwenye mechi 19 sawa na…