Feisal Salum ni King of Asisti NBC Premier League

Rekodi zinazidi kuandikwa ndani ya Tanzania Premier League ambayo ni ligi namba 6 kwa ubora Afrika. Wakati timu mbili zikiwa hazijapoteza ndani ya ligi, Yanga SC na Azam FC kinara kwenye kutengeneza pasi za mwisho maskani yake ipo Azam Complex kwenye mechi za nyumbani. Ni Kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum huyu ni King…

Read More

Ratiba ya Muungano Cup robo fainali 2026 hii hapa

LEO Aprili 21, 2026 mabingwa watetezi wa taji la Muungano Cup Yanga SC watakuwa uwanjani kwenye mchezo wa ufunguzi kutetea taji hilo. Yanga SC vs Maembe Makumbi, saa 1:15 usiku, Aprili 21, 2026 KVZ vs Azam FC, saa 1:15, usiku, Aprili 22, 2026 Mlandege FC vs Singida Black Stars, saa 10:15, jioni Aprili 23, 2026…

Read More

Fursa Mpya, Ushindi Mpya: The Expanse: Stock Trade Yatikisa Soko

Meridianbet inafuraha kutangaza uzinduzi wa mchezo wake mpya wa kisasa, The Expanse: Stock Trade, unaolenga kubadilisha namna wachezaji wanavyoshiriki katika michezo ya kimkakati. Ukichanganya msisimko wa maamuzi ya kifedha na upeo usio na mipaka wa anga za juu, The Expanse: Stock Trade unawapeleka wachezaji katika ulimwengu wa kipekee ambapo masoko hubadilika kwa wakati halisi na…

Read More

Yanga SC vs Muembe Makumbi City FC, Muungano CUP

 Michuano ya Kombe la Muungano 2026 inatarajiwa kuanza Jumanne hii Aprili 21, 2026. Mechi ya kwanza itawahusu mabingwa watetezi ambao ni Yanga SC. NI Yanga SC vs Muembe Makumbi City FC unaotarajiwa kuchezwa kesho. Mabingwa watetezi tayari wameshatia timu Zanzibar. Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Pedro Goncalves amekuwa na kikosi hicho na tayari wameshawasili…

Read More

Namungo FC vs Simba SC NBC Premier League leo

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa maandalizi yamekamilika na vijana wapo tayari kwa mchezo wa leo vs Simba SC. Namungo FC vs Simba SC ni mchezo wa NBC Premier League unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Majaliwa huku wageni wakiwa ni Simba SC. Hii ni ligi namba 6 kwa ubora ushindani unekuwa mkubwa kutokana…

Read More