Tuzo za Man of the Match Muungano Cup

Muungano Cup 2026 imefika tamati huku rekodi zikiwa zimeandikwa kwa wachezaji na Klabu ya Simba SC kutwaa taji hilo.

Hapa tumekuletea orodha ya wachezaji waliotwaa tuzo ya Man of the Match katika kila hatua namna hii:

Hatua

Mechi/Timu husika

Mchezaji aliyechaguliwa

Robo fainali

Yanga SC vs Muembe Makumbi

Shekhan Khamis (Yanga SC)

Nusu fainali

Yanga SC vs Azam FC

Duke Abuya (Yanga SC)

Robo fainali

KVZ vs Azam FC

Ngita Jean (Azam FC)

Robo fainali

Simba SC vs Mafunzo SC

Semfuko Daud (Simba SC)

Nusu fainali

Mlandege FC vs Simba SC

Neo Maema (Simba SC)

Robo fainali

Mlandege FC vs Singida Black Stars

Mbappe (Mlandege FC)

Fainali mchezaji bora ni De Reuck wa Simba SC ambayo imetoa wachezaji watatu Muungano Cup 2026 wakitwaa tuzo ya Man of the Match.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.