Tuzo za Man of the Match Muungano Cup
Muungano Cup 2026 imefika tamati huku rekodi zikiwa zimeandikwa kwa wachezaji na Klabu ya Simba SC kutwaa taji hilo. Hapa tumekuletea orodha ya wachezaji waliotwaa tuzo ya Man of the Match katika kila hatua namna hii: Hatua Mechi/Timu husika Mchezaji aliyechaguliwa Robo fainali Yanga SC vs Muembe Makumbi Shekhan Khamis (Yanga SC) Nusu fainali Yanga…