Michuano ya Kombe la Muungano 2026 inatarajiwa kuanza Jumanne hii Aprili 21, 2026. Mechi ya kwanza itawahusu mabingwa watetezi ambao ni Yanga SC.
NI Yanga SC vs Muembe Makumbi City FC unaotarajiwa kuchezwa kesho. Mabingwa watetezi tayari wameshatia timu Zanzibar.
Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Pedro Goncalves amekuwa na kikosi hicho na tayari wameshawasili visiwani kwa maandalizi ya mwisho ya kupambania taji hilo.
Miongoni mwa wachezaji waliopo visiwani ni Depu, Mudathir, Zimbwe Jr, Aboutwalib Mshery.
Wakirejea kwenye NBC Premier League mchezo wao ujao ni dhidi ya Simba SC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 3, 2026.
Simba SC inatarajiwa kushuka uwanjani Aprili 23, 2026 dhidi ya Mafunzo.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.
Tottenham Hotspur forward Dominic Solanke battles with Crystal Palace defender Maxence Lacroix during the English championship Premier League football match between Crystal Palace and Tottenham Hotspur on 27 October 2024 at Selhurst Park in London, England - Photo Ian Stephen / ProSportsImages / DPPI (Photo by IAN STEPHEN / ProSportsImages / DPPI via AFP)