Skip to content
Friday, June 12, 2026
  • Fountain Gate Washindwa Kutamba Nyumbani, Azam FC Washinda 2-0
  • Mashujaa FC vs Yanga SC, kocha Moallin abainisha hesabu
  • Kombe la Dunia 2026: Canada vs Bosnia, Kasi vs Nguvu, Nani Ataanza Kwa Ushindi?
  • Yanga Yateua Kamati ya Uchaguzi, Adv. Malangwe Mchungahela Apewa Uenyekiti

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Fountain Gate Washindwa Kutamba Nyumbani, Azam FC Washinda 2-0
  • Mashujaa FC vs Yanga SC, kocha Moallin abainisha hesabu
  • Kombe la Dunia 2026: Canada vs Bosnia, Kasi vs Nguvu, Nani Ataanza Kwa Ushindi?
  • Yanga Yateua Kamati ya Uchaguzi, Adv. Malangwe Mchungahela Apewa Uenyekiti

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • April
  • 20

April 20, 2026

  • Sports

Yanga SC vs Muembe Makumbi City FC, Muungano CUP

Saleh2 months ago2 months ago01 mins

 Michuano ya Kombe la Muungano 2026 inatarajiwa kuanza Jumanne hii Aprili 21, 2026. Mechi ya kwanza itawahusu mabingwa watetezi ambao ni Yanga SC. NI Yanga SC vs Muembe Makumbi City FC unaotarajiwa kuchezwa kesho. Mabingwa watetezi tayari wameshatia timu Zanzibar. Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Pedro Goncalves amekuwa na kikosi hicho na tayari wameshawasili…

Read More
  • Sports

Mudathir Yahya Afungiwa Mechi 3 Baada ya Kumpiga Mchezaji wa Pamba Jiji

Saleh2 months ago01 mins

Kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya amefungiwa michezo mitatu pamoja na kutozwa faini ya Tsh milioni 1 baada ya kukutwa na kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Pamba Jiji FC, Ibrahim Abraham wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Adhabu hiyo imetolewa na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu…

Read More
  • Sports

Simba , TRA United Zapigwa Faini Baada ya Stewards Kupigana Uwanjani

Saleh2 months ago01 mins

Klabu za Simba SC na TRA United zimetozwa faini ya Tsh. milioni tano kila moja kwa kosa la walinzi wa klabu hizo (Stewards) kupigana mara baada ya timu hizo kuwasili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Adhabu hiyo imetolewa leo Aprili 20, 2026 na kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya…

Read More
  • International
  • Sports

Derby ya London Yapamba Moto leo: Palace Wawakaribisha West Ham Selhurst Park

Saleh2 months ago02 mins

  Uwanja wa Selhurst Park, London Leo tarehe 20 kuanzia saa 22:00 utakuwa jukwaa la pambano la kusisimua la derby ya London kati ya Crystal Palace dhidi ya West Ham United katika Ligi Kuu ya Uingereza. Mchezo huu unakuja wakati timu zote zikiwa na malengo tofauti kwenye msimamo, huku Crystal Palace wakiwa na rekodi nzuri…

Read More
  • Entertainment

Shinda Samsung Galaxy A26 Kupitia Super Heli ya Meridianbet

Saleh2 months ago2 months ago02 mins

Kuna jambo moja linatikisa kila kona kwa sasa, fursa kali kutoka Meridianbet. Wabashiri wanazungumzia uwepo wa Samsung Galaxy A26 kama zawadi inayoweza kubadilisha stori yako ndani ya muda mfupi. Hii ni nafasi ya wale wanaocheza kwa akili na ujasiri. Super Heli umekuwa mchezo wa kasi na presha. Helikopta inapopaa, kila sekunde inaongeza thamani ya ushindi….

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.