Neo Maema amepewa tuzo na kuonyeshwa kadi
NEO Maema amesema kuwa tuzo ambayo amepata katika mchezo wa NBC Premier League vs Coastal Union ni maalumu kwa mashabiki kutokana na uwepo wao kila mahali. Aprili 2,2026 ubao wa Uwanja wa Meja Jeneral Isamuhyo ulisoma Simba SC 2-0 Coastal Union baada ya dakika 90 kukamilika. Magoli yalifungwa na Seleman Mwalimu dakika ya 25 kwa…