Leo ratiba ya NBC Premier League

Leo Aprili 3, 2026 kuna mechi mbili kali zinatarajiwa kuchezwa ikiwa ni mzunguko wa 18 katika msako wa pointi tatu muhimu.

Aprili 3,2026 Dodoma Jiji FC vs Fountain Gate Airtel, Singida saa 08:00 mchana

Dodoma Jiji FC kwenye msimamo ipo nafasi ya 9 ikiwa na pointi 21 baada ya mechi 17 inakabiliana na Fountain Gate iliyo nafasi ya 12 na pointi 16.

Aprili 3,2026 Mbeya City vs KMC Tanzanite Kwaraa, Manyara, saa 10:15 jioni

Mbeya City kwenye msimamo ipo nafasi ya 14 ikiwa na pointi 13 inawakaribisha KMC FC walio nafasi ya 16 na pointi 8.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.