Aprili 2, 2026 leo ni Simba SC vs Coastal Union mchezo wa NBC Premier League, Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo.
Haya hapa matokeo ya mechi zao zilizopita wababe hawa wawili:-
01/03/2025, Coastal Union 0-3 Simba SC
04/10/2024, Simba SC 2-2 Coastal Union
09/03/2024, Coastal Union 1-2 Simba SC
21/09/2023, Simba SC 3-0 Coastal Union
09/06/2023, Simba SC 3-1 Coastal Union
03/12/2022, Coastal Union 0-3 Simba SC
07/04/2022, Coastal Union 1-2 Simba SC
31/10/2021, Simba SC 0-0 Coastal Union
11/07/2021, Simba SC 2-0 Coastal Union
21/11/2020, Coastal Union 0-7 Simba SC
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.