Simba SC Yagonga Mwamba Kesi ya Camara
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF imetupa shauri lililowasilishwa na Simba SC kuhusu uhalali wa usajili wa mchezaji Mohamed Damaro Camara. Kwa mujibu wa uamuzi huo, kamati hiyo imeona kuwa hoja zilizowasilishwa hazina uzito wa kisheria au ushahidi wa kutosha kuweza kuthibitisha madai yaliyokuwa yakitolewa na klabu hiyo. Shauri hilo lilikuwa likihusu…