Ratiba ya 16 bora CRDB Federation Cup na matokeo

Matokeo ya Jumamosi, Aprili 11, 2026

Coastal Union 2-0 Pamba Jiji FC

Yanga SC 1-0 TMA Stars

Mechi za Jumapili, Aprili 12, 2026

Simba SC vs Dodoma Jiji FC, saa 10:00 jioni

Singida Black Stars vs Mbeya City, saa 10:00 jioni

Namungo vs TRA United, saa 10:00 jioni

Azam FC vs Fountain Gate, saa 1:00 usiku.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.