
KIMATAIFA: AL MERRIKH 0-0 YANGA
KAZI kubwa inafanywa na wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Ni mchezo wenye ushindani mkubwa ikiwa ni kipindi cha kwanza na ubao unasoma Al-Merrikh SC 0-0 Yanga. Yanga ipo na kijiji kikubwa cha mashabiki nchini Rwanda ambao walitoka Dar na wapo wale wakazi wa Rwanda ambao…