YANGA YAVUNJA REKODI YAKE KIMATAIFA
YANGA imetinga hatua ya makundi katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa ushindi wa bao 1-0 Al Merreikh. Ni bao la Clement Mzize ambaye ni mzawa alipachika bao hilo dakika ya 66. Jumla Yanga imefunga mabao 3-0 baada ya ule wa ugenini kupata ushindi wa mabao 2-0. Miguel Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga amevunja rekodi ya…