Home International ASTON VILA YAICHAPA BRIGHTON

ASTON VILA YAICHAPA BRIGHTON

NDANI ya dakika 26 Brighton imeshuhudia ikitunguliwa mabao matatu dhidi ya Aston Villa.

Baada ya dakika 90 kukamilika ubao wa Uwanja wa Villa Park umesoma Aston Villa 6- 1 Brighton.

Ni Ollie Watkins amepachika hat trick kwa mabao ya dakika ya 14, 21, 64, Pervis Estupinan alipachika bao dakika ya 26.

Jacob Ramsey ni dakika ya 85 na Douglas Luiz alipachika bao la usiku dakika ya 90+8.

Ni Ansu Fati kwa Brighton alipachika bao moja dakika ya 50 ikiwa ni wiki ya saba ñdani ya Ligi Kuu England.

Previous articleNYOTA SIMBA ASHUSHA PRESHA, YUPO FITI KWA KAZI
Next articleYANGA KAMILI GADO KUWAKABILI WAPINZANI WAO KIMATAIFA