Home Sports KIMATAIFA: POWER DYNAMO 1-0 SIMBA

KIMATAIFA: POWER DYNAMO 1-0 SIMBA

UKIWA ni mchezo wake wa kwanza kukaa langoni akiwa na uzi wa Simba kipa Ayoub raia wa Morocco ametunguliwa bao moja.

Ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaochezwa Zambia, ukiwa na ushindani mkubwa.

Bao la kuongoza kwa Power Dynamo limepachikwa dakika ya 28 mtupiaji akiwa ni Joshua Mutale.

Mutale anawasumbua walinzi wa Simba wakiongozwa na Henock Inonga, Shomari Kapombe na Che Malone..

Previous articleSIMBA NA YANGA KIMATAIFA, NCHI IPO KAZINI
Next articleKIMATAIFA: AL MERRIKH 0-0 YANGA