Home International KIMATAIFA: AL MERRIKH 0-0 YANGA

KIMATAIFA: AL MERRIKH 0-0 YANGA

KAZI kubwa inafanywa na wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi.

Ni mchezo wenye ushindani mkubwa ikiwa ni kipindi cha kwanza na ubao unasoma Al-Merrikh SC 0-0 Yanga.

Yanga ipo na kijiji kikubwa cha mashabiki nchini Rwanda ambao walitoka Dar na wapo wale wakazi wa Rwanda ambao ni mashabiki wa timu hiyo.

Huu ni mchezo wa kimataifa ambao unafuatiliwa na watu wengi duiani.

Previous articleKIMATAIFA: POWER DYNAMO 1-0 SIMBA
Next articleYANGA WATOA BURUDANI KIMATAIFA UGENINI