YANGA WAICHAPA RUVU SHOOTING MABAO 3-1 KWA MKAPA
KIKOSI cha Yanga kimeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo Novemba 2,2021. Alikuwa ni Shaban Msala alipachika bao kwa Ruvu Shooting dakika ya 8, kwa shuti kali akiwa nje ya 18 lililompoteza mazima kipa namba moja Djigui Diarra. Kipa Mohamed Makaka aliweza kuwa imara…