KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Ruvu Shooting, Uwanja wa Mkapa kwenye benchi yumo nyota mzawa David Bryson ambaye alikuwa nje kutokana na kusumbuliwa na majeraha.
Hili hapa jeshi kamili la Yanga ambalo litaanza:-
Diarra Djigui
Kibwana Shomari
Shaban Djuma
Dickson Job
Bakari Mwamnyeto
Yannick Bangala
Mukoko Tonombe
Jesus Moloko
Yacouba Songne
Feisal Salum
Fiston Mayele
Akiba
Ramadhan Kabwili
Bryson Raphael
Ninja
Adeyum
Mauya
Farid
Kaseke
Yussuf
Ntibanzokiza