
AZAM FC YAMALIZWA KIMKAKATI NA YANGA
MABOSI wa Yanga wamebainisha kwamba mkakati wa kuimaliza Azam FC ulishachorwa Songea kwa kuwa walipata muda wa kuitazama timu hiyo ilipocheza mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC. Azam FC jana ilipoteza mchezo wake wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids FC kwa kufungwa bao 1-0. Akizungumza na Championi Jumamosi, Kaimu Mtendaji…